LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 12, 2021

MWANYIKA AIBANA SERIKALI BUNGENI NI LINI TATIZO LA UMEME NJOMBE MJINI LITAISHA?+video

 


Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameibana serikali kwa kuhoji ni linivijiji 20 jimboni humo vitaingizwa kwenye mpango wa kuwekewa umeme wa REA na tatizo la ukatikaji wa mara kwa mara wa umeme utaisha?


Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mwanyika akihoji wakati wa maswali na majibu bungeni Dodoma pamoja na majibu kutoka Wizara ya Nishati.


Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 

Mhariri Blog ya Taifa ya CCM

 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages