Mkuu wa Shule ya Awali Feza, wa tatu kutoka kushoto, Arzu yilmaz. wakikata
keki kwa pamoja na Wazazi wakati wa kusherehekea siku ya Mama Duniani.
Hafla hiyo ambayo imefanyika katika viwanja vya Shule hiyo iliyopo
Mikocheni jijini Dar es salaam. Picha na Ashrack Miraji.
Wazazi wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kusherehekea siku ya Mama
Duniani na wakamuunga mkono Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan kuwa watashirikiana naye bega kwa
bega hili kuleta maendelea kwa pamoja.
May 11, 2021
SHULE YA FEZA WASHEREHEKEA SIKU YA MAMA DUNIANI
Tags
Elimu#
featured#
Share This

About Richard Mwaikenda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇