LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 12, 2021

MUSHASHU AITAKA SERIKALI ITOE KIBALI CHA AJIRA ZA WALIMU WANAFUNZI WAPATE ELIMU TARAJIWA+video

 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera, Bernadeta Mushashu akichangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, ameitaka serikali kufanya mkakati wa kutoa vibali waalimu waajiliwe ili wanafunzi wapate elimu tarajiwa.

 Amesema kuwa kwa Mkoa mmoja wa Kagera una upungufu wa walimu 7607 wa shule za msingi na 1340 wa sekondari. Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mushashu pamoja na mambo mengine akielezea umuhimu wa kutoa ajira kwa walimu..... 

 

 Imeandaliwa na Richard Mwaikenda

 Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 

0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages