LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 23, 2021

MAHAFALI YA KIHISTORIA YA VYUO VIKUU VYA AGA KHAN YAFANA DAR ES SALAAM

Muhitimu Esther Kabona na Muunguzi Taasisi ya Mifupa MOI akiwa katika pozi mara baada ya kuhitimu Shahada ya Uuguzi Nchini Tanzania yaliyofanyika Mei 22, 2021. Jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

Afisa Muunguzi Taasisi ya Mifupa MOI. Ruth Mosi akiwa katika pozi mara baada ya kuhitimu Shahada ya Uuguzi Nchini Tanzania yaliyofanyika Mei 22, 2021 
 Esther Kabona na Muunguzi Taasisi ya Mifupa MOI akiwa na rafiki yake Clara Mchome (kulia) mara baada ya kumalizika Mahafali hayo.
Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Mifupa MOI. Esther Kabona (wa katikati) akiwa katika picha ya pamoja  na  Wahitimu wenzake wa Shahada ya Uuguzi Nchini Tanzania mara baada ya Mahafali ya Kihistoria ya Vyuo Vikuu vya Aga Khan yaliyofanyika kwa wakati Mmoja katika Nchi za Tanzania, Pakistan, Uingereza, Uganda na Kenya kwa Darasa la mwaka wa 2020 
Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Mifupa MOI. Esther Kabona (wa kwanza kulia) akiwa katika picha ya pamoja  na  Wahitimu wenzake wa Shahada ya Uuguzi Nchini Tanzania mara baada ya Mahafali hayo ya Kihistoria ya Vyuo Vikuu vya Aga Khan yaliyofanyika kwa wakati Mmoja katika Nchi za Tanzania, Pakistan, Uingereza, Uganda na Kenya kwa Darasa la mwaka wa 2020 
Wahitimu Shahada ya Uuguzi Nchini Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika Mahafali ya Kihistoria ya Vyuo Vikuu vya Aga Khan yaliyofanyika kwa wakati Mmoja katika Nchi za Tanzania, Pakistan, Uingereza, Uganda na Kenya kwa Darasa la mwaka wa 2020. 
Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Mifupa MOI. Esther Kabona (wa saba kulia) akiwa katika picha ya pamoja  na  Wahitimu wenzake wa Shahada ya Uuguzi Nchini Tanzania mara baada ya Mahafali ya Kihistoria ya Vyuo Vikuu vya Aga Khan yaliyofanyika kwa wakati Mmoja katika Nchi za Tanzania, Pakistan, Uingereza, Uganda na Kenya kwa Darasa la mwaka wa 2020 

1 comment:

  1. Tunamshukuru Mungu ametuwezesha kumaliza masomo.Tytahakikisha tunatumia taaluma tuliyoipata kuongeza ufanisi ktk kutoa huduma kwa wagonjwa na jamii yetu kwa ujumla.

    ReplyDelete

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages