LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 9, 2021

SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE KUTOKA BUNGE LS UGANDA, LEO

Spika wa Bunge, Job Ndugai  akizungumza na Kiongozi wa Msafara wa Wabunge wanne kutoka Uganda Jacquiline Amongin, ujumbe huo ulipotembelea Bunge la Tanzania, leo. Kulia ni Mbunge katika msafara huo, Bangirana Anifa Kawooya.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages