Apr 14, 2021

RAIS SAMIA ATETA NA MAKAMU WAKE DK. MPANGO, OFISINI KWAKE, IKULU JIJINI DODOMA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wake Dk. Philip Isdor Mpango, ofisini kwake, Ikulu jijini Dodoma, leo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages