Apr 14, 2021

MBUNGE KISWAGA WA KALENGA AITAKA SERIKALI KUWA NA KITABU KINACHOANISHA MAENEO YA MADINI+video

 MBUNGE wa Jimbo la Kalenga, Jackson Kiswaga akichangia Mpango wa Maendeleo wa Miaka mitano bungeni Dodoma, kwa kutoa ushauri kwa Serikali pamoja na mambo mengine kuandaa kitabu maalumu kinachoainisha maeneo yanayopatikana madini nchini.

Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video Mbunge Kiswaga akitoa ushauri huo.... IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages