Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Msongwe akijibu swali hilo.
Na Richard Mwaikenda, Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini, Deo Mwanyika ameipigania bungeni barabara ya kutoka Njombe, Uwemba, Luponde hadi Lusitu ijengwe kwa kiwango cha lami.
Mwanyika aliuliza swali la nyongeza kwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, kwamba ni lini barabara hiyo muhimu kwa uchumi wananchi wa eneo hilo itajengwa kwa kiwango cha lami? Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mwanyika akiuliza swali hilo na jinsi lilivyojibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi.... IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇