LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 6, 2021

RAIS SAMIA AWASILI ZANZIBAR

 


  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumpokea mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo tarehe 06 Aprili 2021. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo tarehe 06 Aprili 2021. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hussein Ali Mwinyi mara baada ya kuwasili Zanzibar leo tarehe 06 Aprili 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hussein Ali Mwinyi mara baada ya kuwasili Zanzibar leo tarehe 06 Aprili 2021.  PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages