Mbunge wa Ludewa, Joseph Kamonga (kushoto) akijadiliana jamo na Mbunge wa Mbinga Vijijini, Benaya Kapinga kwenye viwanja vya Bunge Dodoma leo Aprili 6,2021, baada ya Bunge kuahirishwa hadi Alhamisi.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Rugangira (kushoto) akizungumza jambo na Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy Mayenga kwenye viwanja vya Bunge Dodoma leo Aprili 6,2021, baada ya Bunge kuahirishwa hadi Alhamisi.
Wabunge wakiwa lango kuu la ukumbi wa Bunge baada Naibu Spika, Dkt Tulia Akson leo Aprili 6,2021, kuahirisha Bunge hadi Alhamisi.
Wabunge wakijadiliana mambo mbalimbali nje ya ukumbi wa Bunge leo.
Apr 6, 2021
MAMBO YA BUNGENI DODOMA LEO
Tags
Bunge#
featured#
Share This
About Richard Mwaikenda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇