Wabunge, mawaziri na manaibu waziri wakiingia bungeni Dodoma asubuhi Aprili 12,2021 kwa ajili ya kikao cha maswali na majibu na kuchangia hoja ya Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Miaka mitano uliowasilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Mchemba. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Mchemba (kulia) akiingia bungeni Dodoma
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇