Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akifanya ukaguzi wa ujenzi wa mizani unaofanywa na Kampuni ya Ujenzi ya CHICO ya China katika Barabara ya Mbinga-Mbamba Bay, jana Aprili 11, 2021. Pamoja naye ni Meneja mradi wa Kampuni hiyo.
Baada ya kukagua mkuu huyo wa mkoa memuagiza Mkandarasi kuwa hadi ifikapo Juni 2021 ujenzi wa Mizani uwe umekamilika kwa kuzingatia bajeti na viwango ili ianze kupima mizigo inayotoka na kuingia Wilaya ya Nyasa.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇