Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Waumini wa Dini ya Kikristo na Watanzania katika Ibada ya Misa Takatifu ya kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika leo April 04, 2021 katika Kanisa Kuu Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiwa katika Ibada ya Misa Takatifu ya kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika leo April 04, 2021 katika Kanisa Kuu Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Your Ad Spot
Apr 4, 2021
MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO ASHIRIKI IBADA YA PASAKA JIJINI DODOMA, LEO
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This
About Bashir Nkoromo
Kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇