Baada ya Uingereza kuishinikiza Kenya kufunga mpaka wake na Tanzania, Kenya nayo imeipa kigingi Uingereza kwamba hakuna raia wa Uingereza kuingia nchini humo bila kukaa karantini ya siku 14 tena kwa gharama zake.
Kenya imelikataa shinikizo la Uingereza la kufunga mpaka wake na Tanzania kwa kutoa sababu za msingi. Soma Taarifa hiyo iliyotolewa na Kenya, jana.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇