Mwinjilisti Joseph Fungo wa Kanisa la EAGT Nazaret lililopo Ipagala, Dodoma akiongoza mahubiri wakati wa Ibada ya Sikukuu ya Kufufuka kwa BwanaYesu Kristo Pasaka.Picha zote na Richard Mwaikenda
Waumini wakiwa kwenye ibada hiyoKanisa la EAGT Nazaret Ipagala, Dodoma.
WAUMINI wa Kanisa la EAGT Nazaret Ipagala, jijini Dodoma, wakiongozwa na Mwinjilisti Joseph Fungo wakati wa ibada ya sikukuu ya kufufuka kwa Yesu Kristo, Pasaka wameliombea Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumuomba Mungu ampe nguvu,hekima, uhahamu na ujasiri aliongoze vyema Tanzania Taifa liendelee kuwa salama pamoja na kuliponya na janga la corona.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video Mwinjilisti Joseph Fungo akihubiri juu ya mambo hayo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇