LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 17, 2021

AMIRIJESHI MKUU, RAIS SAMIA ATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WAPYA JWTZ NA MAHAFALI YA STASHAHADA YA SAYANSI YA KIJESHI KWA MAAFISA WANAFUNZI, IKULU, LEO

 Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 17 April 2021 ametunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Mahafali ya kwanza ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi kwa Maafisa Wanafunzi kundi 01/17, katika hafla iliyofanyika, Ikulu Chamwino Dodoma.

Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais Dk. Isdori Mpango.

zifuatazo ni mfululizo wa baadhi ya matukio muhimu yaliyojiri wakati wa hafla hiyo
















No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages