LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 11, 2021

WAZIRI DK. MPANGO AWASILISHA MPANGO NA UKOMO WA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA WA 2021/22 , JIJINI DODOMA, LEO

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango  akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya  Mpango, Kiwango  na Ukomo wa Bajeti  kwa mwaka wa Fedha 2021/22 katika Ukumbi wa  Pius Msekwa Jijini Dodoma.

Mawaziri, Wabunge na Watendaji wa Serikali wakifuatilia uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Serikali ya  Mpango, Kiwango  na Ukomo wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2021/22 katika Ukumbi wa  Pius Msekwa, Jijini Dodoma, leo.

Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na wakati wa uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Serikali ya  Mpango, Kiwango  na Ukomo wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2021/22 katika Ukumbi wa  Pius Msekwa, Jijini Dodoma, leo. Katikati ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango,  Dk. Philip Mpango.

Hotuba Kamili ya Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mpamgo hii hapa👇


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages