LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 5, 2021

WANAWAKE MOI KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU WATOA VITU MBALIMBALIA

 
Katibu Kamati ya Maandalizi Siku ya Wanawake MOI, Salma Amani (kushoto) akizungumza jambo Ofisini kwake mara baada ya kumpokea mke wa  Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mariam Ulega alipo watembelea na kutoa misaada mbalimbali katika kushiriki Siku hiyo ya Wanawake  Machi 4, 2021.

  Katika kuelekea kilele cha Siku ya wanawake Duniani Machi 8, 2021, Akina mama wa MOI kwa namna ya kipekee wakishirikiana na wadau mbalimbali, Watasherehekea siku hiyo pamoja na Watoto ambao ni wagonjwa wa Taasisi hiyo waliozaliwa na wenye  matatizo ya Kichwa Kikubwa na Mgongo wazi, Hivyo mke wa  Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mariam Ulega ashiriki kwa kutoa Misaa mbalimbali ya Nafaka ikiwemo Mchele, Mafuta ya kula na sabuni.

Kuanzia (kulia) ni  mke wa  Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mariam Ulega, Afisa Uhusiano MOI, Sophia Nassoni, Kaimu Katibu wa TUGHE, MOI, Elizabeth Mlindoko na Katibu Kamati ya Wanawake TUGHE Emily Abiero. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages