LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 21, 2021

WANANCHI DODOMA WAZIDI KUJITOKEZA KUTIA SAINI KWENYE VITABU VYA MAOMBOLEZO YA RAIS HAYATI MAGUFULI

Baadhi ya viongozi na wananchi wakitia saini kwenye vitabu vya maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati John Magufuli kwenye viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma leo. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA













 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages