LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 21, 2021

RAIS SAMIA AENDA DODOMA KWA MARA YA KWANZA AKIWA RAIS, KUONGOZA KUMUAGA KITAIFA DK. MGUFULI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan akipanda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akiondoka Dar es Salaam kwenda Dodoma kwa mara ya kwanza kama Rais.


Pamoja na mambo mengine Rais kesho ataongoza Watanzania na wageni kuaga Kitaifa mwili wa Hayati John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages