LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 30, 2021

MATUKIO BUNGENI BAADA YA DKT MPANGO KUTHIBITISHWA KUWA MAKAMU WA RAIS

 

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (kulia) akijadiliana jambo na wabunge kwenye viwanja vya Bunge Dodoma leo baada ya  bunge kulithibitisha jina la Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mbunge wa Jimbo la Kawe,  Askofu Josephat Gwajima akizungumza na Mbunge wa Viti Maalumu, Munde Tambwe.
Wabunge wakiwa na furaha kwenye viwanja vya Bunge Dodoma, baada ya kupiga kura na kuthibitisha jina la Dk. Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wabunge wakiwa waktika makundi wakijadiliana mambo mbalimbali likiwemo la Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango kuthibitishwa na Bunge kuwa Makamu wa Rais.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages