LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 30, 2021

MPAMBE WA RAIS ALIVYOWASILISHA BUNGENI JINA LA MAKAMU WA RAIS MTEULE DK MPANGO

Mpambe wa Rais akiwasilisha kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai bahasha yenye jina la Makamu wa Rais Mteule, Dkt Philip Mpango  kwa ajili ya kupigiwa kura  na kuthibitishwa na Bunge, Dodoma Machi 30, 2021.

Baadhi ya wabunge wakiwa tayari kumpongeza Rais Makamu wa Rais Mteule, Dkt. Philip Mpango baada ya kupigiwa kura na kuthibitishwa na Bunge, Dodoma

Makamu wa Rais Mteule, Dkt. Philip Mpango akitoa neno la shukrani baada ya kuthibitishwa na bunge, Dodoma 
Makamu wa Rais Mteule, Dkt. Philip Mpango akiaga  wabunge baada ya jina lake kuthibitishwa na bunge, Dodoma. 
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages