LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 10, 2021

MAENDELEO YA UJENZI BARABARA YA MOROCCO-MWENGE KM 4.5 INAYOJENGWA KWA NJIA 4 MPYA

 

Maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge km 4.5 inayojengwa kwa njia 4 mpya, service road, taa za Kisasa, mifereji mikubwa ya kupitisha maji ukiwa umefikia asilimia 70.35, mradi huu utapunguza kwa kiasi kikubwa msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi pamoja na maingilio ya barabara ya Kawawa na Shekilango mkoani Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages