LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 10, 2021

MKUU WA MKOA WA KAGERA WA ZAMANI KANALI NASSAWE AFARIKI DUNIA

Aliyewahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Kagera kwa kuteuliwa na Rais mwaka 2011, Kanali Kanali Fabian Ignas Massawe (Pichani), amefariki dunia.

Kanali Massawe  aliyefariki dunia leo, Jumatano Machi 10, 2021 Mkabla ya kuwa Mkuu wa mkoa wa Kagera alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na baadae kuwa Mkuu wa Wilya za Muleba na Karagwe mkoani Kagera kwa nyakati tofauti.


Kabla ya kuhudumu kwenye nyadhifa za kisiasa, Kanali Fabian Massawe aliwahi kuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Jitegemee mwaka 1986 hadi 2002.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages