LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 30, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN MWINYI AMTEMBELEA RAIS MSTAAF WA ZANZIBAR DK. AMANI KARUME

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Karume alipofika nyumbani kwake Mbweni Jijini Zanzibar  kwa ajili ya kumsalimia na kuzungumza nae, baada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Majid Rahma Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, jana.
 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Karume alipofika nyumbani kwake Mbweni Jijini Zanzibar  kwa ajili ya kumsalimia na kuzungumza nae, baada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Majid Rahma Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, jana.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akisindikizwa na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Karume wakati akiondoka baada ya kumtembelea nyumbani kwake Mbweni Jijini Zanzibar  kwa ajili ya kumsalimia na kuzungumza nae, baada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Majid Rahma Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, jana. (Picha zote na Ikulu, Zanzibar)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages