LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 30, 2021

RAIS DK. MAGUFULI AZUNGUMZA NA MAELFU YA WANANCHI WA TABORA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili  katika mkutano wake wa hadhara na wananchi katika Uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora leo Jumamosi Januari 30, 2021
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na jukwaa kuu wakifurahia wimbo wa wanakwaya wa Chuo cha Utumishi tawi la Tabora  wakati  wakitumbuiza katika mkutano wake wa hadhara na wananchi katika Uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora leo Jumamosi Januari 30, 2021. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwapongeza wanakwaya wa Chuo cha Utumishi tawi la Tabora waliomkuna kwa nyimbo nzuri wakati  wakitumbuiza katika mkutano wake wa hadhara katika Uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora leo
Jumamosi Januari 30, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDkt John Pombe Magufuli akitoka kuwapongeza wanakwaya wa Chuo cha Utumishi tawi la Tabora waliomkuna kwa nyimbo nzuri wakati  wakitumbuiza katika mkutano wake wa hadhara na wananchi katika Uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora leo Jumamosi Januari 30, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Anthony Sanga  wakati akiukagua baada ya kuzindua mradi wa Maji ya Ziwa Vicktoria kwa miji ya Tabora, Igunga na Nzega mjini Tabora leo Jumamosi Januari 30, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi  Anthony Sanga akitoa maelezo ya kina juu ya  mradi wa Maji ya Ziwa vicktoria kwa miji ya Tabora, Igunga na Nzega aliouzindua mjini Tabora leo Jumamosi Januari 30, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu na Balozi Mdogo wa India Nchini Mhe. R. Chandramouli (kati) wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Anthony Sanga akitoa maelezo ya kina juu ya  mradi wa Maji ya Ziwa Vicktoria kwa miji ya Tabora, Igunga na Nzega aliouzindua mjini Tabora
leo Jumamosi Januari 30, 2021
:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu baada ya kuzindua mradi wa Maji ya Ziwa Vicktoria kwa miji ya Tabora, Igunga na Nzega mjini Tabora leo Jumamosi Januari 30, 2021. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally. (Picha zote na Ikulu)


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages