LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 30, 2021

RAIS DK. MAGUFULI AZINDUA MRADI KUBWA WA MAJI WA SH. BILIONI 617 KWA MIJI YA TABORA, IGUNGA NA NZEGA, LEO

Rais Dk. John Magufuli akizindua mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa Victoria  kwa ajili ya Miji ya Tabora, Igunga na Nzega mjini Tabora, leo, mardi huo umegharimu Sh. Bilioni 617. 
Rais Dk. John Magufuli akisoma bango la Wizara ya Maji kuhusu mradi huo, baada ya kuuzindua leo leo, mardi huo umegharimu Sh. Bilioni 617. (Picha na Wizara ya Maji)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages