LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 27, 2021

RAIS DK. HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WADAU WA ELIMU ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Walimu na Wadau wa Elimu Zanzibar, baada ya kupokea changamoto zinazowakabili katika Sekta ya Elimu Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.         

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Walimu na Wadau wa Elimu Zanzibar mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

WADAU wa Elimu Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, wakati wa mkutano huo wa kuzungumzia hali ya Elimu Zanzibar,uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

mmmm

MDAU wa Elimu Mstaaf Mwalimu Ameir Njeketu akichangia wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

MDAU wa Elimu kutoka Chuo cha Mwalimu Nyerere Tawi la Zanzibar Bi. Rose Mbwete akichangia wakati wa mkutano huo na Wadau wa Elimu Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoka katika viwanja vya ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar baada ya kumaliza mazungumzo yake na Walimu na Wadau wa Elimu Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said.(Picha zote na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages