LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 27, 2021

RAIS DK. MAGUFULI AZINDUA SHAMBA LA MITI LA SILAYO WILAYANI CHATO MKOA WA GEITA, LEO

Rais Dk. John Magufuli akifukia vema mti baada ya kuupanda alipozindua rasmi Shamba la Miti lililopewa jina la Silayo Wilayani Chato mkoani Geita leo, Shamba hilo, ambalo ni miongoni mwa mashamba 23 ya serikali yanayosimamiwa na kuendelezwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) lilianzishwa mwaka wa fedha 2017/18 na lina ukubwa wa hekta 68,000 likiwa ni la pili kwa ukubwa baada ya Shamba la Miti la Saohill lililopo Mafinga mkoani Iringa, likijumuisha msitu wa asili wenye hekta 47,900 na eneo la upandaji miti takriban hekta 88,000.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akizindua rasmi Shamba la Miti

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea mche wa mti toka kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Damas Ndumbaro baada ya kuzindua rasmi rasmi Shamba hilo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuzindua rasmi Shamba la Miti lililopewa jina la Silayo Wilayani Chato mkoani Geita leo Jumatano Januari 27, 2021.Shamba hilo, ambalo ni miongoni mwa mashamba 23 ya serikali yanayosimamiwa na kuendelezwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) lilianzishwa mwaka wa fedha 2017/18 na lina ukubwa wa hekta 68,000 likiwa ni la pili kwa ukub wa baada ya Shamba la Miti la Saohill lililopo Mafinga, Iringa, likijumuisha msitu wa asili wenye hekta 47,900 na eneo la upandaji miti takriban hekta 88,000

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages