LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 27, 2021

RAIS DK. MAGUFULI AFUNGUA MAJENGO MAPYA NA UPANUZI WA HUDUMA KITUO CHA AFYA CHA MASUMBWE WILAYANI MBOGWE, GEITA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika Kituo cha Afya cha Masumbwe wilayani Mbogwe alipoenda kufungua majengo mapya na upanuzi wa
huduma katika Kituo hicho cha Afya, leo. 
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Joghn Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jaffo alipoenda  alipoenda kufungua majengo mapya na upanuzi wahuduma katika Kituo hicho cha Afya, Kushoto ni Waziri wa Afya,  Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoka kutembelea sehemu mbalimbali za Kituo cha Afya cha Masumbwe wilayani Mbogwe wakati wa sherehe za ufunguzi wa Majengo Mapya na Upanuzi wa Huduma katika kituo hicho leo Jjumatano Januari 27, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua majengo mapya na upanuzi wa huduma Kituo cha Afya cha Masumbwe Wilaya ya Mbogwe Mkoa wa Geita akiwa na Waziri wa Afya Dkt.Doroth Gwajima na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jaffo na viongozi wengine leo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages