LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 2, 2021

OSCAR NONDO MTANZANIA ALIYETAJIRIKA KWA KUUZA MBWA+VIDEO


Oscar Nondo ni kijana wa kitanzania aliyeanza ufugaji wa mbwa miaka sita iliyopita ambapo awali alianza kufuga mbwa wa kawaida lakini aliposafiri kwenda nje ya nchi aliweza kununua mbwa wengine ambao alianza kufuga na mpa hivi sasa ana mbwa 40 ambapo thamani ya mbwa wote ni zaidi ya million mia.

Kwenye exclusive interview na Ayo tv na millardayo.com Nondo amesema ufugaji wa  mbwa umempa faida ikiwemo nyumba ya kisasa anayoishi magari na pamoja na mahitaji mengine.

“upambanaji nimeanza mwaka 1995 nilipomaliza darasa la saba,nilikuwa nafanya biashara ya simu nikaacha baada yakuona imeingiliwa na watu wengi nikajikita kwenye ufugaji”-Nondo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages