LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 4, 2020

WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA NCHINI WAKAGUA LEO ATAKAPOAPISHWA RAIS MTEULE DK. MAGUFULI JIJINI DODOMA, KESHO

 

Viongozi Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania, wakijadiliana jambo walipofika kukagua maandalizi ya eneo la atakakoapishwa kRais Mteule wa Tanzania Dk. John Magufuli kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athuman, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Simon Sirro. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages