LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 4, 2020

RAIS DK. MWINYI AKAGUA GHALA LA KUHIFADHI MIZIGO NA MAKONTENA KUTOKA BANDARINI ENEO LA SAATEN, UNGUJA, ZANZIBAR, LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na  Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari Ali Haji Haji wakati alipofanya ziara ya hafla leo kutembelea ghala la kuhifadhia Mizigo liliopo Saateni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akitoa maelekezo kwa watendaji wa Shirika la Bandari wakati alipotembelea Ghala la kuhifadhia Mizigo Saateni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi  leo alipofanya ziara maalum ya kikazi (kulia) Kaimu Mkurugenzi Ufundi Shirika la Bandari Salum Uddi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein  Ali Mwinyi  akisisitiza jambo wakati akizungumza na Uongozi wa Shirika la Bandari Zanzibar alipotembelea  eneo lililojengwa godauni la kuhifadhia mizigo kutoka bandarini na makontena Saateni Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Shirika la Bandari la Zanzibar alipofanya ziara ya hafla leo kutembelea ghala la Mizigo liliopo Saateni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages