LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 4, 2020

RAIS DK. MWINYI ATETA NA VIONGOZI WA WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI, VIONGOZI WA SHIRIKA LA BANDARI, IKULU, LEO


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali   Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji na Viongozi wa Shirika la Bandari Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo, wakiwepo na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Nd.Khamis Mussa Omar. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages