Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maandalizi ya uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo Novemba 4, 2020, ambao utatumika kwa ajili ya uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utakaofanyika, kesho Novemba 5, 2020

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, wakati akiwasili kwenye viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma leo Novemba 4, 2020, kukagua maandalizi ya uwanja huo utakaotumika kwa ajili ya uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utakaofanyika kesho Novemba 5, 2020. PICHA: OFISI YA WAZIRI MKUU
Your Ad Spot
Nov 4, 2020
Home
featured
siasa
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA MAANDALIZI YA MAHALI ATAKAKOAPISHIWA RAIS MTEULE DK. MAGUFULI, KESHO JIJINI DODOMA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA MAANDALIZI YA MAHALI ATAKAKOAPISHIWA RAIS MTEULE DK. MAGUFULI, KESHO JIJINI DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇