LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 3, 2020

TULIA AKSON ACHUKUA FOMU KUWANIA UNAIBU SPIKA JIJINI DODOMA, LEO

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake  Dk. Tulia Ackson akichukua fomu ya kuwania tena nafasi hiyo katika Bunge lijalo la 12, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),  katika Ofisi za Makao Makuu ya  CCM Jijini Dodoma, leo.
Dk. Tulia akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kuchukua fomu ya kuwania Unaibu Spika, leo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages