MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na
Rais Mstaaf wa Awamu ya Saba Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto ) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi wakiwa wamesimama walipowasili katika ukumbi wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM
Kisiwandui Jijini Zanzibar jana
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi akizungumza wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na
Rais Mstaaf wa Awamu ya Saba Mhe.Dk. Ali Mohameed Shein akifungua Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCK Kisiwandui Jijini Zanzibar 2/11/2020.
WAJUMBE Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM
Zanzibar wakipitia makamrasha yao kabla ya kuaza kwa Kikao hicho kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaaf wa Awamu ya Saba Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar jana
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar , kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, jana
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais Mstaaf wa Awamu ya Saba Mhe Dk. Ali Mohameed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijinin Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmaashauri Kuu ya CCM Zanzibar (PICHA ZOTE NA IKULU)
Your Ad Spot
Nov 3, 2020
Home
featured
siasa
MAKAMU MWENYEKITI WA CCM RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANBZIBAR, LEO
MAKAMU MWENYEKITI WA CCM RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANBZIBAR, LEO
Tags
featured#
siasa#
Share This
About Bashir Nkoromo
siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇