LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 6, 2020

RAIS WA ZIMBABWE : TANZANIA NI BABA NA MAMA WA UHURU WETU

Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa akitoa salamu za wananchi wa Zimbabwe wakati wa Sherehe za kuapishwa kwa mara ya pili Rais John Magufuli kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma Novemba 5, 2020.

"Watanzania pokeeni salamu na pongezi kutoka Zimbabwe, sisi tunaiangalia Tanzania kama baba na mama wa Uhuru wetu kama alivyouasisi Hayati Mwl. Julius Nyerere."

"Tunamshukuru Rais John Pombe Magufuli kwa sababu kupitia SADC amekuwa kinara wa kuiondolea Zimbabwe vikwazo mbalimbali ambavyo nchi ilikuwa ikipitia"

"Pia Tanzania ilitusaidia mahindi kukabiliana na baa la njaa ililolikumba nchi yangu, nasema asanteni sana."



Rais Mnangagwa akiaga wananchi alipokuwa akiondoka uwanjani.

 Imeandaliwa na Richard Mwaikenda

Mhariri wa CCM Blog.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages