Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa salamu wakati wa sherehe za kuapishwa kwa Rais Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma Novemba 5, 2020.
"Natoa pongezi kwa Rais John Pombe Magufuli kushinda uchaguzi pamoja na watanzania wote kwa ushindi uliotawaliwa na amani. Naipongeza Tanzania kwa kutangazwa kuingia uchumi wa kati, na sisi Uganda tuko nyuma yenu."
"Uwakilishi huu tunaouona hapa kutoka nchi mbalimbali ni matunda ya msimamo thabiti wa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere na viongozi wachache wa Afrika ambao hawakukubali kuwa vibaraka wa mataifa ya nje."
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇