LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 7, 2020

MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SEKONDARI YA KAWE UKWAMANI, JIJINI DAR ES SALAAM YALIVYOTIA FORA

Mwenyekiti wa Kampuni ya Afritea Tanzania Tea Blenders Nawab Abdulrahman Mulla,  akimpatia cheti cha ushindi wa jumla wa kufanya vema katika masomo kadhaa, Bushir Faraj, wakati wa mahafali ya wahitimu watarajiwa Kidato cha Nne ya Shule ya Sekondari Kawe Ukwamani, Kawe jijini Dar es Salaam, jana, Mulla ambaye alikuwa mtia nia ya Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kawe, pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM  na ni Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Mbeya. Wapili kushoto ni Mkuu wa Shule hiyo Safina Egha na watatu ni Mjumbe wa Bodi ya Shule hiyo Alifakisadi Mkindi. Katika Mahafa hayo jumla ya wahitimu watarajiwa 189 wa kidato cha walikabidhiwa vyeti kati yao 94 wakiwa ni wasichana.

Wahitimu watarajiwa wa Kidato cha nne wakiingia eneo la tukio👇






Viongozi meza kuu wakiwashangilia wakati wahitimu watarajiwa wa kidato cha nne Shule ya Sekondari ya Kawe ukwamani walipokuwa wakiingia eneo la tukio, wakati wa hafla ya mahafali yao, yaliyofanyika jana katika  shule hiyo.

Wahitimu watarajiwa wa kidato cha nne wakiongoza kuimba Wimbo wa Taifa👇


 


Mkuu wa Shule ya Kawe Ukwamani  Sekondari Safina Egha akifanya Utambulisho👇

Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe, Mkaguzi Msaidizi David Maro akizungumza kutoa nasaha kwa wahitimu wakati wa mahafali hayo

Walimu wakiwa mbele wa meza kuu walipotambulishwa katika mahafali hayo. Shule hiyo ina walimu wapatao 40 waajiriwa na 15 wa kujitolea.☝

Wanafunzi na waalikwa wakifuatilia mambo yalivyokuwa yakienda motomoto wakati wa mahafali hayo👇





Utoaji tuzo👇
Mwalimu anayesimamia Taaluma Kawe Ukwamani Sekondari, Peter Chacha akitaja orodha mbalimbali ya Wadau, walimu na wanafunzi kwa ajili ya mgeni rasmi kuwakabidhi tuzo za vyeti wakati wa mahafali hayo

Risala👇

Vijana wa Skauti wanaosoma katika shule ya Sekondari Kawe Ukwamani wakionyesha umahiri wao katika fani ya sanaa ya mapigano👇











Keki ya kuwapongeza kidato cha nne ambayo ilinadiwa na mgeni rasmi kutunisha mfuko wa shule👇


Katibu wa CCM Kata ya Kawe Fatma Awadh akimkaribisha mgeni rasmi  Nawab Abdulrahman Mulla kuinadi keki hiyo.
"Mimi nitaikata keki hii na kumlisha Mkuu wa shule kwa sh. laki moja", akisema Mgeni rasmi Nawab Abdulrahman Mulla kabla ya kuanza kuikata keki hiyo.


Mulla akiikata keki hiyo na kumlisha Mkuu wa Shule Madam Eghaa👇



Mgeni Rasmi Mzee Mulla akiinadi keki👇







Zawadi kwa Madam Egha👇









Zawadi kwa Mkuu wa Shule Msaidizi👇






Utoaji tuzo na vyeti kwa Wadau, Walimu na Wanafunzi👇
















Mgeni rasmi akitoa hotuba👇 


Walimu walivyomeremeta
👇



Madam Egha katika furaha ya kuwapokea ya walimu kutoka hshule rafiki👇



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages