LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 10, 2020

RAIS DK. HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR NA VIONGOZI WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA, LEO.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza na Viongozi wa Tume ya Uchaguzi  Zanzibar (ZEC) alipokutana nao leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa kazi ya kufanikisha vyema  Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama alipokutana nao leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa kazi ya kusimamia vyema ulinzi na usalama wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages