LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 10, 2020

NBS YATANGAZA SHINDANO LA WAANDHISHI BORA WA HABARI ZA TAKWIMU


Ofisi ya Taifa ya Takwimu imeandaa Shindano la Waandishi wa Habari za Kitakwimu ikiwa ni sehemu ya Kuadhimisha Siku ya Takwimu Afrika kwa Mwaka huu wa 2020.

Katika kuwashirikisha Waandishi wa habari katika Maadhimisho hayo Mamlaka ya Takwimu Tanzania (NBS) imetangaza Shindano la kupata Mwandishi bora wa habari za takwimu mwaka 2020.

 Tangazo pia linapatikana katika tovuti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages