LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 12, 2020

MZEE MZINDAKAYA AIPONGEZA CCM NA KUNENA MAKUBWA KUHUSU USHINDI WA KISHINDO ILIOUPATA



👆Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally jana alipoa salam za pongezi kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutoka kwa mwanasiasa mkongwe nchini, Mbunge mstaafu Mzee Crisant Mzindakaya.

Katibu Mkuu amepokea pongezi hizo, jana Novemba 11, 2020 alipotembelewa na Mzee Mzindakaya Ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM na kuwa na mazungumzo. Tafadhali Bofya Video hiyo hapo👇

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages