LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 29, 2020

MWANYIKA ATWAA USHINDI WA UBUNGE NJOMBE MJINI

 


Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo la Njombe Mjini amemtangaza Deodatus Mwanyika wa Chama Cha Mapinduzi kuwa mshindi wa ubunge wa Jimbo hilo kwa kupata kura 29,553 akifuatiwa na mshindani wake Emmanuel Masonga (CHADEMA) akipata kura 5,940
.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages