LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 29, 2020

TARIMO WA CCM ASHINDA UBUNGE MOSHI MJINI

 

Mgombea wa CCM, Priscus Tarimo ameshinda Ubunge katika Jimbo la Moshi Mjini baada ya kupata kura 31,169 akifuatiwa na Raymond Mboya wa CHADEMA aliyepata kura 22,555.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages