LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 29, 2020

DK. TULIA AKSON AMGALAGAZA SUGU UBUNGE MBEYA MJINI


 Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Mbeya Mjini, amemtangaza Dr. Tulia Ackson wa CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge kwa jimbo hilo ambaye amepata kura 75,225, akifuatiwa na Joseph Mbilinyi wa CHADEMA aliyepata kura 37,591.

“Nichukue fursa hii kuwashukuru sana wapiga kura wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa heshima kubwa waliyonipa” – Mshindi wa Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini, Tulia Ackson


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages