Staa wa Burundi Said Ntibazonkiza aliyeifunga Taifa Stars jana dakika ya 85 katika mchezo wa kirafiki Burundi dhidi ya Tanzania “‘Taifa Stars”
Ntiba amesajiliwa na Yanga SC inaripotiwa ni mkataba wa miezi 18 na ataungana na timu hiyo mwishoni mwa mwezi Novemba.
Yanga SC sasa kwa kushirikiana na mdhamini na kit suplier wao kampuni ya GSM wamedhamiria kuboresha timu hiyo baada ya kuendelea kusajili wachezaji wa kigeni na majina makubwa
.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇