LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 13, 2020

Video: VIKOSI VYA WATU 400 VYATUA KUSAIDIA UZIMAJI MTO MLIMA KILIMANJARO

 

Vikosi vya watu 400 vyatua mlima Kilimanjaro kupambana na moto

on

Vikosi vya watu mia nne vimefika katika eneo la Wona lililopo eneo la mlima kilimanjaro kwa ajili yakukabiliana na janga la moto lililotokea eneo hilo ambapo hadi hivi sasa chanzo bado hakijajulikana

Kamishna msaidizi mwandamizi mawasiliano kutoka Mamlaka ya hifadhi za taifa (TANAPA) Paschal Shelutete amesema wakati jitihada za kuuzima moto huo zikiendelea shughuli za utalii kwenye mlima hazijasitishwa

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages