LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 13, 2020

MAMA SAMIA USO KWA USO NA DAVID SILINDE KATIKA JIMBO LA TUNDUMA, AKISAKA KURA ZA CCM, LEO

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Kitabu cha Ilani ya Utekelezaji wa Uchaguzi ya CCM 2020/25 kwa Mbunge mteule wa Jimbo la  Tunduma  David Silinde kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Laela Sumbawanga alipokuwa njiani akielekea Mkoani Songwe kuanza ziara ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM  Mbozi Mkoani Songwe leo Oktoba 13,2020. 

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Momba alipowasili katika Viwanja vya Nkala Chitete Momba Mkoani Songwe leo Oktoba 13,2020 kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages