LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 13, 2020

DK. SHEIN AZINDUA JENGO LA MAMA NA MTOTO HOSPITALI YA KIVUNGE, ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria  Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge   Wilaya ya Kaskazini "A"Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Ufunguzi uliofanyika leo (kulia) Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Unguja Mhe.Vuai Mwinyi Mohamed (kushoto) Daktari Dhamana Tamim Hamad Said na Waziri wa Afya  Mhe.Hamad Rashid Mohamed  (wa pilikushoto).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Waziri wa Afya  Mhe.Hamad Rashid Mohamed wakifungua pazia  kuashiria  Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge   Wilaya ya Kaskazini "A"Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Ufunguzi uliofanyika leo (kulia) Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Unguja Mhe.Vuai Mwinyi Mohamed .[Picha na Ikulu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia)  akipata maelezo kutoka kwa Daktari katika chumba cha upasuaji Hospitali ya Kivunge  wakati alipotembelea Wodi mbali mbali mara baada ya Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge  Wilaya ya Kaskazini "A"Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika  leo (katikati) Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dk.Jamala Adam Taib.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Waziri wa Afya Hamad Rashid  Mohamed  wakipata maelezo kutoka kwa Daktari Dhamana Hospitali ya Kivunge  Dk.Tamim Hamad Said  (kulia)  wakati alipotembelea Wodi mbali mbali  baada ya Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge   Wilaya ya Kaskazini "A"Mkoa wa Kaskazini Unguja   uliofanyika leo 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages